TShย 450,000
per month
1
Bedrooms
2
Bathrooms
Wewe mwenye nyumba, habari njema! ๐ Makazi sasa imekuruhusu kuweka Instagram, YouTube na TikTok links moja kwa moja kwenye listing yako. Imagine hivi โ mteja anaangalia nyumba yako, anaclick tu, anaona video tours zako, reels, na stories. Anakuona wewe ni real deal, professional, active. Trust inaanza hapo hapo. ๐ฏ Juzi tuu tukisema reach โ Tanzania ina internet users 30 MILLION+, wengi wao wako phone. Makazi inaweka listing yako mbele ya maelfu ya wateja wanaotafuta nyumba 24/7. Hii si broker mmoja anayefika watu 10 tu kwa wiki. Hii ni listing yako inafanya kazi usiku na mchana, Dar es Salaam, Arusha, Dodoma, Mwanza โ miji 11! ๐๐ฑ Process ni simple ila ya noma. Sign up. Verify ID. Post listing. BOOM โ tayari! Na hii sio mchezo mdogo โ unakuwa Business tier FREE miezi 6 (value TZS 1,391,400! ๐ธ). Listings 100, picha 30 kwa kila listing, na sasa unaweza add social media links zako, kuongeza visibility, na kulipwa kila mteja anapounlock mawasiliano yako. Kazi rahisi, pesa halisi. ๐ฐ
Listed by
Ben
Member since Feb 2026
This is test broker account. Read listing description for more information
โAlways visit the property in person before paying
Ben
Member since Feb 2026
Enterprise Landlord100% response rateThis is test broker account. Read listing description for more information
Listed
Views
ID